Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza harambee ya kuchangia mfuko wa
maendeleo jimbo la Ukonga jana jioni ambapo jumla ya Shilingi 462m/
zilipatikana ikiwa ni ahadi na fedha
taslimu. Rais Kikwete alichangia jumla ya shilingi 110m/-Wakati wa
harambee hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
jana jioni.Kulia ni mbunge wa ukonga Eugen Mwaiposa na wapili kushoto ni
mwenyekiti wa ukonga SACCOS Advera Ruge
No comments:
Post a Comment