http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, July 17, 2021

📌Mbwana Samatta "Poppa" atatumia jezi namba 15 katika klabu ya Fenerbahce msimu ujao kutokana na jezi namba 10 kukabidhiwa fundi Mesut Ozil.
📌Imeripotiwa kuwa ni sababu za kibiashara ambapo Fenerbahce watatumia Brand ya "M10" (Mesut Ozil) kwenye mauzo ya jezi na vifaa vingine vya michezo.
📌Ikumbukwe jezi no 15 amewahi pia kuivaa akiwa TP Mazembe aliwasha sana moto 🔥🔥🔥

 

No comments:

Post a Comment