ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:
1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni
ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi
napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila
kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba
kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na
kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno
pindi raha zinapozidi,
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza
kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake
wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo
kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu
nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja yao
katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua
ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya
vitu bila kutarajia.
- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi
dalili chache sidhani kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo
kati ya hili kwako itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida katika
mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya
kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri kabla ya
tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na msingi
na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila
kumuandaa
Mambo ya Kuzungumza na Mchumba Kabla ya Ndoa
Baada ya kuvishwana pete ya uchumba, wasichana wengi huona kwamba
kilichoko mbele yao ni kupanga harusi tu. Hujishughulisha kwa hali na
mali kuhakikisha harusi inakuwa sawa na ile anayoiwaza siku zote, na
kusahau kuwa baada ya harusi kuna maisha ambayo ndiyo haswa yanayopaswa
kupangiliwa kwa umakini. Baadaye wanajikuta wameingia kwenye ndoa huku
mambo mengi yakiwa hewani na hivyo kupelekea migogoro isiyoyalazima mara
tu baada ya ndoa.
Kuna mambo muhimu sana ambayo wachumba
wanapaswa wayaongelee na kufikia muafaka kabla ya kuunganika na kuwa
mwili mmoja. Yanaonekana ya kawaida sana lakini yanaweza kuleta msuguano
na kuharibu kabisa furaha ya ndoa. Tuyaangalie kwa uchache:
1. Mahali pa kuabudu.
Binti anaabudu katika kanisa kubwa na ndiye kiongozi wa sifa na
muongozaji wa nyimbo karibia zote za kwaya, na kijana anaabudu kwenye
kanisa dogo linaloanza na ndiye mwenyekiti wa vijana na mwalimu wa shule
ya jumapili. Hapa nani anamfuata nani? Bila kukaa chini na kujadiliana
kwa pamoja jambo hili linaweza kuleta mvutano. Ni vyema mkaangalia kwa
mapana na marefu option zote kisha kwa pamoja mfikia muafaka kulingana
na huduma ya kila mmoja wenu.
2. Jinsi ya Kuishi
Waafrika
ni kawaida yetu kuishi pamoja na ndugu zetu na kusaidiana katika mambo
mbalimbali ya maisha. Sio jambo geni kumkuta kijana au msichana anaishi
na wadogo zake na kuwasomesha. Linapokuja suala la ndoa ni vyema jambo
hili likawekwa sawa mapema. Je mtaweza kuishi na ndugu wangapi? Na wa
upande upi na kwa kigezo gani? Je wataanza kuishi nanyi muda gani baada
ya kuoana? Pale tu mtakapooana au lini? Hili si jambo dogo na linaweza
kuharibu amani kabisa ndani ya nyumba. Ni vyema mkaliweka sawa mapema na
wale mnaoishi nao wajue hawaishi tena na kaka au dada bali Mr & Mrs
hivyo heshima iwe kwa wote. Pia sishauri kuishi nao mara tu baadavya
kuoana, ni bora wakaenda kwa ndugu wengine angalau mwezi mmoja wa kwanza
muweze kuwa na wakati wenu wa faragha wa kufahamiana vizuri na kuizoea
nyumba yenu mkiwa wenyewe.
3. Mapato na Matumizi
Hili ni
eneo nyeti sana. Wasichana wengine wanapoolewa huambiwa kuwa ‘usimwambie
mumeo unapata kiasi gani na uwe na akaunti yako ya siri.’ Mmh hapa pana
tatizo, maana nijuavyo mimi mwili mmoja ni katika kila idara, hamna
siri. Sasa wewe ukificha na mwenzio akaficha, kuna maendeleo kweli hapo?
Ni muhimu sana kwa wachumba kukaa na kupanga jinsi ya kuyatumia mapato
yenu mtakapooana. Muwe wawazi kila mmoja anachokipata na muainishe
matumizi yenu na kuangalia ni kwa jinsi gani mtaweza kuyafanikisha.
Baada ya kuoana, kila kitu kitakuwa ni chenu wote. Kama ulikuwa na
nyumba, gari, viwanja, shares, bank accounts n.k vyote vinakuwa mali ya
familia, hivyo ni vyema mkaangalia hili mapema ili asije mmoja wenu
akajenga nyumba kwa siri bila mwenzie kujua. Pia muangalie ni ndugu gani
wanahitaji msaada kifedha na jinsi gani mtaendelea kuwasaidia, mfano
ada, matibabu, n.k. Hapa panahitaji hekima kubwa sanabya kiMungu kuamua
nani asaidiwe kulingana na kipato chenu kwa wakati huo. Maana ndugu wa
kuhitaji msaada wenu watakuwa ni wengi kuliko uwezo wenu. Hapa ndipo
mstari wa mithali 14:1 unapoleta maana.
Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
4. Mipango ya Mbeleni
Shule, ujenzi, kuanzisha familia, kufungua biashara, kuanzisha huduma
n.k yote haya yanahitaji kuzungumziwa mapema na kuwekewa misingi. Mfano
wewe unahitaji baada tu ya ndoa utafute scholarship ukasome ulaya wakati
mwenzio akifunga macho tu anajiona anaitwa baba, hapo lazima shida
itatokea. Lazima mjue vipaumbele vyenu kama familia ni nini.
Mkishafahamu hilo ni rahisi kujua muanzie wapi na wakati gani. Mume
hawezi tu kuamka asubuhi na kusema anaacha kazi na kuanzisha kanisa,
sasa familia itakula wapi? Ni lazima mkae chini mpange mjue mume akiacha
kazi familia itaishije, mke je atakuwa tayari kubeba majukumu yote?
Mwisho huu ndio wakati muafaka kumweleza mwenzio kama uliwahi
kuchumbiwa hadi kutolewa mahari lakini mambo yakaharibika. Pia kama
unamtoto ni lazima narudia LAZIMA umweleze mwenzi wako. Usiingie kwenye
ndoa na siri yoyote, itakuwa ni bomu la kuwasambaratisha.
LOVE MESSAGES
Don’t make friends before understanding
&
Don’t break a friendship after misunderstanding
is
a
cream,
Love
is
a
dream
but
our
Friendship
is
evergreen.
U make 10 friends,
Laugh wid 9,
Meet 8 of them,
Talk to 7,
Celebrate wid 6,
Share secrets with 5,
Trust 4,
Cry wid 3,
Take help of 2,
But never forget 1 like me:)
To live a life i need a heartbeat,
2 have a heartbeat i need a heart,
2 have a heart i need happiness,
2 have happiness i need a friend
&
4 a friend i need U!
Longest LOVE is MOTHER”s LOVE,
Shortest LOVE is other LOVE,
sweetest LOVE is LOVER”s LOVE,
but strongest LOVE is FRIEND LOVE….
Never walk away from a true friend.
When u c some faults,
b patient & realize that nobody is perfect.
It’s affection that matters,
not perfection.
Friendship is about writting
HURTS on the SAND
where wind blows it and forget,
CARVING the BENEFITS in the STONE and never 4get.
When it hurts to look back,
and you are scared to look ahead,
you can look beside you
and
your best friend will be there
No comments:
Post a Comment