http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Thursday, September 28, 2017

KELVIN YONDANI APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MASHABIKI WA YANGA

Wanachama wa Yanga SC kutoka Group la 'Yanga 4 Life' kwenye mtandao wa kijamii wa Whatsapp asubuhi hii wametoa kiasi cha TSh. 500,000/= Kwa Kelvin Yondani kama zawadi kwa mchezo mzuri aliouonyesha kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ndanda Fc jumamosi iliyopita na kuchaguliwa mchezaji bora wa mchezo huo kwa Kikosi cha Yanga.

No comments:

Post a Comment