Mama
Maria Nyerere akiwa tayari kwa Tamasha la NAIAMINIATANZANIA hapa
Dodoma,Kampeni hii itachukua Nchi Nzima kwaajili ya Kusambaza Upendo na
Kutambua Umuhimu wa Kulinda na Kutetea Taifa la Tanzania.
Shilole akiwa na Nuhu Mziwanda Kipenzi chake,.
Mh:Lusind akibadilishana Mawazo na Kada wa Chama cha Mapinduzi Juliana Shonza.
Linex
Ni mwendo wa Kusamba Upendo
Mwana FA
Wapili kutoka Kulia Kajala Masanja
Mkongwe wa Mziki wa Bongo Fleva afande Sele akibadilishana Mawazo na Diamond Platnum "Sukari ya Warembo"
DJ Fetty akipata chats
Baba Levo
Godzilla
Luiza Mbutu wa Twanga Pepeta akiwa na
Msanii Ditto akiwa na Makomando wakali wa "Kibega"
Millarayo akipata Ukodak na Mwasiti mkali wa "Mpaito"
Queen Dorlen akiwa na Mwasiti katika Ukodak
Mh:Tembe akelekea Jukwaani,Mashabiki wakimpa HI!!!


Adam Mchomvu A.k.A Baba Joniii akianza kazi ya kushika MIC Mwanzo Mwisho kwenye Tamasha hili la Aminia Tanzania.
Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa Wakazi wa Dodoma waliofurika Viwanja vya Jamhuri.

Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa Wakazi wa Dodoma waliofurika Viwanja vya Jamhuri.
Sehemu ya Mashabiki wakionesha Ishara ya Kufurahia Kampeni ya NAIAMINIATANZANIA.
Madee akikamua "Nani Kamwaga Pombe Yangu"
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Shusho akiimba kwaajili ya Tanzania.
Jukwaa la Wasanii wakiimba Hellow Hellow Tanzania.



Wasanii
Wakiimba Hellow Hellow Tanzania wakati Rais wa Nchi Jakaya Mrisho
Kikwete akiwasili Viwanja vya Jamhuri Dodoma kwenye Tamasha la
NaiaminiaTanzania.

Mh:Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na Wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha la Naiaminia Tanzania.
Kila Mmoja anasambaza Upendo kwa Mwenzie
Diamond Platnum akila maneno na Ommy Dimpoz
Wasanii wakiwa tayari Kupanda Jukwaani kwaajili ya Kutoa Burudani kwa Mashabiki wa Dodoma na Kueneza Upendo.
Mkali wa RnB
Ommy Dimpoz na Mashabiki wake
Makomando wakijitambulisha
Malkia wa Mipasho "Hadja Kopa"akisalimiana na Mashabiki wa Dodoma pia akisamba Upenzo kwa Watanzania "TANZANIA NAKUAMINIA"
Mjomba akifikisha Salamu kuhusu Tanzania na Uimara wake
Chege chigunda "Waue"
Simba Dume afande Sele akifanya yake.
Dj Fetty akiwapagawisha Mashabiki wake
JB Mkali wa Bongo Movie
Mzee Chilo Mkongwe kwenye tasnia ya Filamu Nchini.
Johari
Mboto wa Bongo Movie
Jackline Wolper
Vicent Kigosi "Ray"
Wasanii wote wakiwa Jukwaani na Kufikisha Ujumbe kuwa Tanzania inamambo mengi ya Kujivunia katika miaka 50 ya Uhuru.
Viongozi wakifurahia Kampeni ya NaiaminiaTanzania
Mh"Freeman Mbowe akifurahia Umoja wa Tanzania na Kusapoti kampeni ya

No comments:
Post a Comment