Jana
Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jiono polisi jijini Dar
walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya
Tembo, Tukio hili lilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku
yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4.
No comments:
Post a Comment