Thursday, April 25, 2013
hawa ndio waliowezesha muungano Tanganyika na Zanzibar
sherehe za maadhimisho ya 49 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo kesho tarehe 26 Aprili 2013.Tudumishe muungano, muungano huu ni muhimu sana hasa tukizingatia hali ya ulimwengu wa sasa wa utandawazi ambapo wenye nguvu wanaungana kuwakabili wanyonge ni vyema pia wanyonge waungane kuwakabili wenye nguvu. Cha muhimu ni kufanyia kazi kero mbalimbali za muungano huu ili pande zote mbili ziridhike.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment