Sehemu ya chini za ghorofa hilo zinaonekana bado
nzima hazijadondoka ila kifusi cha kutoka juu ndio kimefunika lakini
kuna watu ndani yake wako hai na inaripotiwa wanapata hewa vizuri na
wamekua wakiwapigia ndugu zao na kuwaita waje kwenye eneo la tukio.

eneo la chini la ghorofa hili lasemekana kuwa ni zima halijaharibika
No comments:
Post a Comment