http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Friday, March 29, 2013

BREAKING NEWS:::: MAGARI YAGONGANA MOROGORO ROAD




Mnamo mida ya saa saba imeshuhudiwa ajali mbaya iliyotokea kwa magari mawili kugongana ambapo gari moja ni la mafuta na jingine ni la lori la semitrela na kusababisha kontena kuweza kuanguka na kuweza kuziba barabara hivyo kuleta usumbufu kwa wale waendao mikoani,
vilevile yasemekana kuna uwezekano mkubwa baadhi ya watu waliokuwa ndani ya gari hizo wakawa mapoteza maisha kutokana na magari hayo yalivyogongana.
Ajali hii imetokea  eneo la bwawani.

No comments:

Post a Comment