KIKOSI
 cha timu ya taifa ya England kimepanga kula maisha Rio de Janeiro 
wakati wa michuano ya Kombe la Dunia 2014, kwa kuweka kambi yake kwenye 
hoteli ya The Windsor Atlantica, inayojulika iliyopo kwenye fukwe za 
Copacabana.
Vijana
 wa Roy Hodgson wataishi kwenye hoteli hiyo ya nyota tano, ambayo iko 
pembezoni mwa bahari, wakati wa mechi yao ya kirafiki dhidi ya Brazil 
kwenye uwanja wa Maracana, Juni 2, mwaka huu.

Beach: Hoteli ya England (Jengo refu zaid) ikiangalia fukwe za Copacabana

The Windsor Atlantica yatakuwa makazi ya England, mwanzoni wa Juni.


Ndani ya hoteli hiyo ambayo England watafikia

Wamedhamiria
 kutumia hoteli hiyohiyo wakati wa michuano ya Kombe la Dunia, mwaka 
mmoja baadaye, iwapo kikosi hicho kitafuzu kushiriki fainali za Kombe la
 Dunia mwaka 2012.
Jengo
 la hoteli hiyo ya nyota tano ndilo refu zaidi kwenye eneo lilipo, huku 
likiangalia fukwe za Copacabana ikiwa wachezaji watimu hiyo watafuzu 
kushiriki Kombe la Dunia.
Moja ya maeneo ya kuvuti Kaskazini mwa Havana: England watakula bata kwenye moja ya maeneo mazuri zaidi ya Rio.

Ufukwe

Anastahili kulala mfalme: Hoteli hiyo ina vyumba 545, ikiwa ni pamoja na vyumba viwli vyenye hadhi ya Urais na Ufalme


Hoteli
 hiyo ina vyumba 54, huku England wakitarajiwa kuishi kwenye ghorofa ya 
pili nay a tatu ya hoteli hiyo, wakiwa hapo watakuwa na sehemu yao 
maalumu ya kula, matibabu na kujiachia.
Lakini watakutana na wananchi wengi pale watakapokatiza kwenye eneo la mapokezi la hoteli hiyo.
Haitafanana
 na makao makuu yao ya Kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini 
ambaklo walikaa kwenye hoteli ya Royal Bafokeng Sports Campus iliyopo 
Rustenburg, hoteli ambayo iliwakera baadhi ya wachezaji.
Hoteli hiyo inasehemu ya spa na bafu linye shower saba kwa ajili ya kupunguza uchovu.



Sehemu ya Gym
Kwenye michuano ya Euro mwaka jana nchini Poland, England waliweka makazi yao katikati ya mji wa Krakow.
Lakini
 hoteli ya Stary ilichaguliwa mahususi kwenye michuano hiyo kwa sababu 
za kiusalama kwa sababu kulikuwa na walinzi waliohakikisha wachezaji 
wanapata muda binafsi.
Wakati wakiwa hawana kazi jijini Rio, England watakuwa wakipumzika kwenye fukwe kubwa zaidi duniani za Copacabana.

Wachezaji wa England watakuwa wakila bata kwenye Bahari ya Atlantic au kwenye swimming pool ya hoteli 

Windsor Atlantica pia wanatoa mataulo ya ufukweni, viti na miamvuli.
Na
 kwa jambo lolote ambalo England watakuwa wanataka kukabiliana nalo juu 
ya masuala ya Kombe la Dunia, Uongozi wa FIFA utakuwa jirani yao kwenye 
hoteli ya Copacabana Palace.
 

 
No comments:
Post a Comment