http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Sunday, April 3, 2016

kati ya messi na ronaldo nani anaekubalika sana?



Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wanaovuta usikivu wa mashabiki wengi wa soka duniani kote, Je! Mashabiki wengi Tanzania wanamkubali nani?
Takwimu za shemu mbali mbali zimeonyesha Ronaldo anakubalika kwa mashabiki walio wengi kuliko Messi, Je! Wewe Mtanzania unasemaje? Tupia maoni yako kwenye sehemu ya maoni baada ya habari hii hapo chini.

Siku ya Jumatano, Cristiano Ronaldo alitinga fainali ya Wakali wa Kombe la Dunia kwa kumwangusha mpinzani wake mkubwa Lionel Messi - Na Goal imefanikiwa kupata matokeo kupitia kura zilizopigwa kwa siku mbili.

Upigaji kura ulisogezwa mbele kwa masaa 24 kutokana na idadi kubwa ya wasomaji kumiminika kupiga kura, na ikaishia kuwa na kura 405,945 jumla kutoka duniani kote - 201,749 za Messi na 204,196 za Ronaldo.

Zifuatazo ni takwimu za kijografia zilizobainika kupitia kura zilizopigwa kwenye tovuti ya Goal - na bila shaka utaona kura nyingi zikiwa zinampendelea Ronaldo katika nchi za Lithuania na Oman!

Kwa hakika ukanda wa Muhafazat Masqat Oman inaonesha walimpatia nambari 7 wa Real Madrid asilimia 97 ya kura 1,973. Runaldo huyu alipigiwa kura mara 3,000 katika toleo la Kireno zaidi ya Ronaldo wa Brazili katika raundi ya 16.

Kura nyingi kutoka Lithuania zimemwezesha Ronald kumshinda Messi kuingia fainali dhidi ya Ferenc Puskas. Jumla, kura 6,386 na kumpatia 97% Ronaldo.

Afghanistan = 1,011 kura; 61% Ronaldo
Albania = 2,447 kura; 60% Messi
Algeria = 1,867 kura; 59% Ronaldo
Andorra = Haijulikani
Angola = 222 kura; 53% Messi
Antigua and Barbuda = Haijulikani
Argentina = 1,392 kura; 85% Messi
Armenia = 591 kura; 62% Messi
Australia = 7,636 kura; 61% Ronaldo
Austria = 3,147 kura; 52% Messi
Azerbaijan = 5,096 kura; 52% Ronaldo



Bahamas = 21 kura; 86% Messi
Bahrain = Haijulikani
Bangladesh = 5,349 kura; 75% Messi
Barbados = Haijulikani
Belarus = 40 kura; 63% Messi
Belgium = 2,257 kura; 52% Ronaldo
Belize = 59 kura; 56% Ronaldo
Benin = 218 kura; 52% Messi
Bhutan = 296 kura; 85% Messi
Bolivia = 491 kura; 64% Messi
Bosnia and Herzegovina = 2,379 kura; 53% Messi
Botswana = 140 kura; 52% Messi
Brazil = 7,889 kura; 53% Ronaldo
Brunei = 30 kura; 53% Ronaldo
Bulgaria = 498 kura; 52% Messi
Burkina Faso = 61 kura; 61% Ronaldo
Burundi = 19 kura; 58% Messi
Cambodia = 199 kura; 70% Ronaldo
Cameroon = 253 kura; 61% Messi
Canada = 11,175 kura; 63% Ronaldo
Cape Verde = Haijulikani
Central African Republic = No kura
Chad = 20 kura; 55% Messi
Chile = 1,363 kura; 63% Messi
China = 115 kura; 70% Messi



Colombia = 2,353 kura; 50/50 split
Comoros = Haijulikani
Congo -  Brazzaville = 26 kura; 50/50 split
Congo - Kinshasa = 196 kura; 61 Messi
Costa Rica = 353 kura; 62% Messi
Cote d'Ivoire = 298 kura; 51% Messi
Croatia = 3,898 kura; 60% Messi
Cuba = 33 kura; 64% Messi
Cyprus = 245 kura; 53% Messi
Czech Republic = 329 kura; 61% Messi
Denmark = 3,947 kura; 59% Messi
Djibouti = 70 kura; 61% Messi
Dominica = Haijulikani
Dominican Republic = 185 kura; 69% Messi
Ecuador = 842 kura; 63% Messi
Egypt = 5,547 kura; 57% Ronaldo
El Salvador = 213 kura; 65% Messi
Equatorial Guinea = 2 kura; 100% Messi
Eritrea = 1 vote; 100% Messi
Estonia = 327 kura; 62% Messi
Ethiopia = 528 kura; 60% Messi
Fiji = 66 kura; 52% Messi
Finland = 1,586 kura, 73% Messi
France = 8,003 kura; 52% Ronaldo
Gabon = 112 kura; 53% Messi



Gambia = 116 kura; 61% Messi
Georgia = 1,614 kura; 66% Messi
Germany = 16,667 kura; 60% Ronaldo
Ghana = 2,424 kura; 64% Messi
Greece = 962 kura; 63% Messi
Greenland = 32 kura; 84% Messi
Grenada = Haijulikani
Guatemala = 445 kura; 68% Messi
Guinea = 192 kura; 60% Messi
Guinea-Bissau = 2 kura; 50/50 split
Guyana = 49 kura; 63% Messi
Haiti = 585 kura; 69% Messi
Honduras = 168 kura; 66%
Hungary = 25,782 kura; 54% Messi
Iceland = 127 kura; 77% Messi
India = 36,640 kura; 53% Messi
Indonesia = 5,590 kura; 59% Messi
Iran = 17,346 kura; 61% Ronaldo
Iraq = 2,525 kura; 65% Ronaldo
Ireland = 1,227 kura; 65% Messi
Israel = 2,116 kura; 71% Ronaldo
Italy = 8,087 kura; 50/50 split
Jamaica = 452 kura; 57% Messi



Japan = 2,258 kura; 66% Messi
Jordan = 4,601 kura; 67% Ronaldo
Kazakhstan = 51 kura; 63% Ronaldo
Kenya = 2,351 kura; 61% Ronaldo
Kiribati = Haijulikani
Kosovo = Haijulikani
Kuwait = 1,197 kura; 54% Ronaldo
Kyrgyzstan = 44 kura; 82% Ronaldo
Laos = 85 kura; 80% Messi
Latvia = 150 kura; 82% Messi
Lebanon = 3,031 kura; 55% Ronaldo
Lesotho = 11 kura; 64% Messi
Liberia = 220 kura; 60% Messi
Libya = 292 kura; 56% Messi
Liechtenstein = Haijulikani
Lithuania = 6,386 kura; 97% Ronaldo
Luxembourg = 250 kura; 77% Ronaldo
Macau = Haijulikani
Macedonia = 976 kura; 55% Messi
Madagascar = 56 kura; 55% Messi
Malawi = 103 kura; 68% Messi
Malaysia = 2,215 kura; 54% Messi
Maldives = Haijulikani
Mali = 199 kura; 65% Messi
Malta = Haijulikani



Marshall Islands = Haijulikani
Mauritania = 80 kura; 60% Ronaldo
Mauritius = Haijulikani
Mexico = 4,482 kura; 53% Messi
Micronesia = Haijulikani
Moldova = 235 kura; 58% Messi
Monaco = Haijulikani
Mongolia = 73 kura; 62% Ronaldo
Montenegro = 129 kura; 55% Messi
Morocco = 2,375 kura; 61% Ronaldo
Mozambique = 170 kura; 56% Messi
Myanmar = 214 kura; 55% Messi
Namibia = 218 kura; 51% Messi
Nauru = Haijulikani
Nepal = 3,686 kura, 54% Ronaldo
Netherlands = 5,840 kura; 58% Messi
New Caledonia = 8 kura, 88% Messi
New Zealand = 956 kura; 51% Messi
Nicaragua = 165 kura; 63% Messi
Niger = 69 kura; 68% Messi
Nigeria = 6,354 kura; 62% Messi
North Korea = No kura
Norway = 4,002 kura; 64% Messi
Oman = 2,436 kura; 89% Ronaldo



Pakistan = 6,952 kura; 59% Ronaldo
Palau = Haijulikani
Palestinian Territories = 1,426 kura; 54% Ronaldo
Panama = 170 kura; 71% Messi
Papua New Guinea = 8 kura; 63% Ronaldo
Paraguay = 148 kura; 57% Ronaldo
Peru = 1,051 kura; 57% Messi
Philippines = 553 kura; 69% Messi
Poland = 891 kura; 66% Messi
Portugal = 2,291 kura; 51% Ronaldo
Puerto Rico = 476 kura; 78% Ronaldo
Qatar = 1,668 kura; 52% Messi
Romania = 4,153 kura; 67% Messi
Russia = 1,314 kura; 58% Ronaldo
Rwanda = 88 kura; 53% Messi
Saint Kitts and Nevis = Haijulikani
Saint Lucia = Haijulikani
Saint Vincent and the Grenadines = Haijulikani
Samoa = Haijulikani
San Marino = Haijulikani
Sao Tome and Principe = Haijulikani
Saudi Arabia = 5,660 kura; 54% Messi
Senegal = 621 kura; 61% Messi
Serbia = 802 kura; 57% Messi
Seychelles = Haijulikani



Sierra Leone = 60 kura; 52% Messi
Singapore = Haijulikani
Slovakia = 1,268 kura; 62% Messi
Slovenia = 821 kura; 52% Messi
Solomon Islands = 12 kura; 92% Messi
Somalia = 134 kura; 57% Messi
South Africa = 2,130 kura; 58% Messi
South Korea = 1,578 kura; 72% Messi
South Sudan = 21 kura; 71% Messi
Spain = 5,261 kura; 59% Messi
Sri Lanka = 415 kura; 64% Messi
Sudan = 521 kura; 56% Messi
Suriname = 443 kura; 64% Messi
Swaziland = 13 kura; 62% Messi
Sweden = 4,093 kura; 58% Messi
Switzerland = 4,772 kura; 52% Ronaldo
Syria = 936 kura; 62% Ronaldo
Taiwan = 340 kura; 76% Messi
Tajikistan = 8 kura; 63% Messi
Tanzania = 770 kura; 59% Messi
Thailand = 5,086 kura; 78% Messi
Timor-Leste = 18 kura; 56% Ronaldo
Togo = 74 kura; 50/50 split



Tonga = Haijulikani
Trinidad and Tobago = 465 kura; 67% Messi
Tunisia = 1,376 kura; 61% Ronaldo
Turkey = 7,318 kura; 53% Messi
Turkmenistan = No kura
Tuvalu = Haijulikani
Uganda = 183 kura; 60% Messi
Ukraine = 708 kura; 52% Messi
United Arab Emirates = 6,723 kura; 55% Ronaldo
United Kingdom = 16,549 kura; 55% Ronaldo
United States of America = 40,857 kura; 52% Ronaldo
Uruguay = 141 kura; 52% Messi
Uzbekistan = 39 kura; 67% Messi
Vanuatu = 6 kura; 67% Messi
Venezuela = 776 kura; 53% Messi
Vietnam = 434 kura; 59% Messi
Yemen = 54 kura, 57% Ronaldo
Zambia = 347 kura; 54% Ronaldo
Zimbabwe = 433 kura; 72% Messi

No comments:

Post a Comment