ISHU ya panya road iliikumba hadi Bar ya Catalunya jana usiku karibu na Mlimani city ambako mkurugenzi wake (Atiki) alithibitisha kwamba wateja wake walilala chini baada ya watu kutokea mlimani kuonekana wakikimbia huku taarifa zikidai Panya Road walikua wakitoka huko.
Baada ya muda kundi la watu lilipopita watu waliamka na kuondoka lakini wengine wachache walikuwa wameumia sababu ya pilikapilika za hofu ya kuvamiwa.
Pichani:Mr Atiki ambaye ni mkurugenzi wa Bar hiyo.

Picha zote na millardayo!
No comments:
Post a Comment