HATARII...MBUNGE AFYATUA RISASI (AK-47) NDANI YA BUNGE BAADA YA KUTOKEA MABISHANO KATI YAKE NA SPIKA.
MP fires AK-47 during Jordanian parliament session!
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge mmoja nchini Jordan alifyatua
risasi ndani ya bunge baada ya kutokea mabishano kati yake na mbunge
mwenzake ambaye ni Spika wa bunge. Hata hivyo hakuna mtu aliejeruhiwa na imekuwa ni kawaida kwa Wabunge wa bunge la Jordan kushikana mashati na kurushiana ngumi. Source: BBC swahili habari saa 3:00 usiku.
No comments:
Post a Comment