Watu
wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu
kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini
Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu
wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi
Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni
kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo
tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. huku nchi ya Uganda ikiwa nafasi ya 21, Rwanda 25, Burundi nafasi ya 3 na Kenya ikishika nafasi ya 30. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
No comments:
Post a Comment