Wadau
wa elimu wameitaka serikali isitafute mchawi juu ya suala la anguko
la elimu nchini ,badala yake wayafanyie kazi baadhi ya mambo ambayo yako
wazi ikiwemo ubadilishwaji wa mitaala mara kwa mara, ubadilishwaji wa
vitabu bila kufuata utaratibu huku wakitaka vitabu vyote vitungwe na
Taasisi ya Elimu Tanzania ili vyote vifanane.
No comments:
Post a Comment