http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Friday, March 29, 2013

MSIMAMO KATIKA MBUZI CUP-DUCE


Ligi ya mbuzi inayoendelea katika chuo kikuu kishiriki cha elimu (DUCE) imezidi Kushika kasi kwa kushuhudia  baadhi ya timu zilizojiandaa vyema kuonekana na ambazo  zinasidikiza kuonekana dhahiri,
Kwa takriban wiki mbili sasa tangu ligi hiyo ianze imeshuhudiwa timu ya  mwaka wa tatu na mwaka wa kwanza ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kumtwaa mbuzi huyo na kreti za soda zilizoandaliwa kwa mshindi wa ligi hiyo
Mpaka sasa mwaka wa tatu wamefanikiwa kuchezwa mechi mbili na kushinda zote kwa idadi nzuri tu magoli ambapo mechi ya kwanza mwaka wa tatu waliweza kuchezwa na timu ya staff (DUCE) na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 5 kwa moja (5-1), na mmechi ya pili katika kundi lake walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa ziro (2-0) dhidi ya timu ya (DARUSO-DUCE), kutokana na ushindi wa mechi hizo timu ya mwaka wa tatu inaongoza kundi A lililo na timu 4 na kukaa ticketi ya kuchezwa nusu fainali inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki ijayo na kukutana na mshindi wa pili kundi B.
S/N
TEAM
PL
W
L
D
GF
GA
GD
P0
1.
M.TATU
2
2
0
0
7
1
6
6
2.
STAFF
3
1
1
1
4
7
-3
4
3.
DARUSO
2
0
1
1
0
2
-2
1
4.
MABIBO
2
0
1
0
2
3
-1
0

Vilevile timu ya mwaka w kwanza imefanikiwa kuchukua Uongozi wa kundi A kwa kuweza kujishindia mechi zake zote tatu, ambapo mechi ya kwanza waliweza  kuifunga timu ya property marketing and consultant kwa mabao (2-1), na mechi ya pili waliweza kushinda kwa usindi wa 3-1 dhidi ya timu ya HEROES pia wameweza  kushuhudiwa hii leo wakiibuka kwa ushindi wa moja bila (1-0) dhidi ya timu ya mwaka wa pili.
S/N
TEAM
PL
W
L
D
GF
GA
GD
PO
1.
M. KWANZA
3
3
0
0
6
2
4
9
2.
M. PILI
1
0
1
0
0
1
-1
0
3.
P.MARKETING. C
1
0
1
0
1
2
-1
O
4.
THE HEROES
1
0
1
0
1
3
-2
0

Lgi hiyo inatazamiwa kuendelea mnamo siku ya kesho  na mechi inayoonekena kuwa na mvuto kwa pande zote ni mbili ni ile itakayoikutanisha timu ya MABIBO na timu ya MWAKA WA TATU mnamo siku ya jumanne kutokana na timu zote kutupiana vijembe kwa sana vya hapa na pale  huku kila pande ikijinasibu kuibuka na kuishindi siku hiyo.
Katika mechi zote hizo zilizochezwa inaonekana timu ya mwaka wa tatu kuwa wafungaji imara na mabeki walijizatiti kwani mpaka sahivi mfungaji bora ni wa mwaka wa tatu aitwaye KIPONZA mwenye magoli 4 akifuatiliwa kwa karibu na  HUSSEIN wa mwaka wa kwanza mwenye mabao (3).
S/N
JINA LA MCHEZAJI
MAGOLI
TIMU
1.
KIPONZA
4
M.TATU
2.
HUSSEIN
3
M.MOJA
3.
ALBETO
2
M.MOJA
4.
FILO
1
M.TATU
5.
HAMIDU
1
M.TATU
6.
SAID
1
M.TATU
7.
ERICKY
1
STAFF

YAFUATAYO NI BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA KWA MECHI CHACHE AMBAZO ZILISHA CHEZWA.
huyu ni HUSSEIN MAJIMOTO mchezaji wa mwaka wa kwanza anayefuatia kwa ufungaji wa magoli (3)

huyu ni AYUBU KIPONZA anaengoza kwa ufungaji (4) mchezaji wa mwaka wa tatu

 huyu ni mchezaji wa timu ya mwaka wa tatu aliyetokea kukubalika sana na wachina kutokana na kipaji chake, yawezekana akaenda kufanyiwa majaribio china

 hawa ni wachezaji wa mwaka wa tatu wakiwa wanatoka kwenye kupasha misuli na yule aliyetangulia ni (MAULID ATHUMANI) lakini uitwa CHUJI kutokana na aina yake ya kunyoa,nafasi anayocheza na jinsi anavyocheza kama CHUJI mwenyewe

No comments:

Post a Comment