http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Thursday, March 21, 2013

mkutano wa kimataifa kuhusu kuhimili mabadilko ya tabia nchi kwa njia za asili

Kutoka Wizara Ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira :Makamu Wa Rais Dr Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Njia za Asili .

Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Ghari Bilal na Waziri wa Nchi Ofisi yaMakamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa wakionyesha kitabu cha Mkakati wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi mara Baada ya Kukizindua Makamu wa Rais Kwenye Hotel ya New Afrika Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment