Jermain Defoe, Ashley Young and Frank Lampard, waliongoza timu yao katika kupata matokeo zaidi katika mechi hiyo
hata hivyo uingereza ilicheza mechi hiyo uku ikiwakosa wachezaji wake kama Theo walcott ambae alikuwa majeruhi na kuweza kumfanya chamberlain kuanza katika mechi hiyo, vilevile alikosekana rio ferdinand ambaye yuko qatar lakini steven gerrard na ashley cole waliweza kupumzishwa
timu hiyo ya malikia iliweza kuchagizwa na mashabiki 2500 walioongozana nayo uko kwenye visiwa vya san marino
UHISPANIA YABANWA NA FINLAND
katika mechi hiyo iliweza kushuhudia beki bora wa dunia sergio ramosi akiifungia gori timu yake ya hispania gori la kuongoza katika mchezo wake 100 katika timu ya taifa ya hispania
pia katika mechi hiyo kikosi cha baecelona kiliweka record ya kuwa na wacheza 7 katika hatua hii ya kufukuzu kwa ajili ya kombe la dunia kwani haijawahi kutokea hivyo katika timu moja ya taifa
gori la finland lilifungwa mnamo dakika ya 79 na Teemu Pukki
UHOLANZI NAO WASHINDA 3-0
timu ya uholanzi imeshuhudiwa ikiendeleza rekodi ya 100 asilimia kushinda mchezo wake huo wa jana usiku
timu ya uholazi ilikuwa imebwana mpaka kufikia mapumziko matokeo yakiwa ni sale pacha ila mnamo kipindi cha pili dakika ya 10 van der vaart aliweza kuwanyanyua mashabiki wa uholanzi na hatimaye rob van persie kumalizia magori mawili katika kuakikisha wanachukua pointi tatu muhimu na kutovunja record yao ya kutofungwa.
UJERUMANI NAYO YAIPIGA 3-0 KAZAKHSTAN
Schweinsteiger, Gotze & Muller
hawa waliweza kuhikakishia ushindi ujerumani kwenye mechi ya jana usiku
ARGENTINA YAIZAMISHA VENEZUELA
kupitia lionel messi na gonzalo higuaini
No comments:
Post a Comment