Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare
ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kwa siku 6
kwa tuhuma za uchochezi lakini akakamatwa tena muda huo huo kwa tuhuma
za ugaidi na kutakiwa kupelekwa ngazi ya juu ya Mahakama kwa kuwa
mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi.
No comments:
Post a Comment