http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, July 17, 2021

πŸ“ŒMbwana Samatta "Poppa" atatumia jezi namba 15 katika klabu ya Fenerbahce msimu ujao kutokana na jezi namba 10 kukabidhiwa fundi Mesut Ozil.
πŸ“ŒImeripotiwa kuwa ni sababu za kibiashara ambapo Fenerbahce watatumia Brand ya "M10" (Mesut Ozil) kwenye mauzo ya jezi na vifaa vingine vya michezo.
πŸ“ŒIkumbukwe jezi no 15 amewahi pia kuivaa akiwa TP Mazembe aliwasha sana moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

 

No comments:

Post a Comment