ligi ya mbuzi iliyoandaliwa na ungozi wa wanafunzi chuo kikuu cha elimu kishiriki (DUCE), inatarajiwa kuanza mnamo siku ya kesho katika kiwanja cha Mpira wa miguu chuoni hapo.
ambapo hiyo kesho kutakuwa na mechi ya ufunguzi baina ya
DARUSO Vs STAFF
mnamo mida ya saa kumi na nusu jioni.
kwa wale wapenzi wa mchezo wa mpira miguu mnakaribishwa sana.
No comments:
Post a Comment