http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, December 29, 2018

Wanachama na wapenzi wa Yanga SC wamekuja kivingine:-


Haya ni 'MABAKULI' waliyo design kwa kukusanya michango siku ya leo uwanjani, na hawa picha ndio wakusanyaji rasmi watabeba haya 'MABAKULI' yaliyofungwa ipasavyo huku shingoni wakiwa wamening'iniza vitambulisho vyao! makusanyo yote moja kwa moja watakabidhiwa wachezaji na benchi la ufundi jioni ya leo. . Hii ndio Yanga timu ya wananchi!
SHIME MWANA YANGA USITOKE UWANJANI BILA KUWEKA CHOCHOTE!

No comments:

Post a Comment