MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule
za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi
umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya
Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2014
No comments:
Post a Comment