Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterloof Air
Force Base jijini Pretoria, Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba 4, 2013
tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo
kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013.
Meza kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakiwa katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.

(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment