Mmoja wa wanafamilia akimpa maelekezo mlinzi huyo wa kaburi hilo la kifahari
 Mgambo
 huyo akitoa maelezo kwa familia ya mzee Mdaku,kulia ni mke wa marehemu 
na kushoto ni mtoto wa kwanza wa marehemu akiwa na mumewe
                       Padri akizungumza na Mgambo huyo nje ya kaburi hilo
 Maneno haya ya busara yaliwekwa nyumba ya msaraba uliopo kwenye kaburi la mpendwa wetu Mzee Mdaku
 Baada
 ya kugonga viroba mfurulizo afande huyo alijikuta akiuchapa usingine 
wakati shughuri zikiendele kama alivyonaswa na kamera za Mtandao huu.
KUTOKANA na 
kukidhiri kwa vitendo vya wizi kwenye makaburi,familia ya marehemu mdaku
 imeamu kuweka mlinzi kulinda kaburi la mpendwa wao nyakati za usiku kwa
 lengo la kulinda vitu mbali mbali vya dhamani zilivyomo kwenye kaburi 
la mpendwa baba yao.
Akihojiwa na 
mwandishi wa habari hizi mgambo huyo aliyejitambulisha kwa jina la 
Mganga Chigillo aliuthibitishia mtandao huu kupewa kazi ya kulinda 
kaburi hilo vyakati za usiku kwa lengo la kupambana na vikaba wenye 
tabia ya kuvamia makaburini vyakati za usiku na kuimba vitu mbali mbali.
" Nikweli 
nalinda kaburi la mzee mdaku na kwamba kazi hiyo sio nyepesi mfano jana 
majira ya saa nanne usiku nimeshuhudiakundi la watu wake kwa waume 
wakiwa wamevamia nguo nyeupe wakizunguka kwenye makaburi .lakini kwa 
ujasiri sikukimbia badala yake niliendele kugonga pombe yangu aina ya  
konyagi  niliweka dhana zangu jirani kama wangenilitea noma ningepambana
 nao kwa bahati nzuri walipomaliza shughuri zao waliondoka zao bila 
kusogea kwenye kaburi hili" alisema Mgambo huyo mwenye mke na watoto 
kadhaa.
Juzikati 
familia ya marehemu Mdaku ambaye alitajwa kuwa ni muumni safi wa kanisa 
katoriki Parokia ya Kingurunyembe walimfanyia ibada ya kumbukumbu ya 
mwaka mmoja toka alivyotutoka,Bw ametoa na bwana ametwa jina lake 
libarikiwe,
            SOURCE:  global publishers limited 
 

 
No comments:
Post a Comment