Taarifa
Maalum Kwa Umma Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ):Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi
la ghafla, itawasili kwa ndege maalum katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere – Terminal one (Air Wing) saa tisa
alasiri Julai 20, 2013.
Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini
Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, itawasili kwa ndege maalum
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere – Terminal
one (Air Wing) saa tisa alasiri Julai 20, 2013 badala ya saa nne kama
ilivyoelezwa hapo awali, waandishi wa habari wanaruhusiwa kufika
kuanzia saa saba Mchana.
Aidha,
mara baada ya kuwasili miili hiyo itapelekwa katika hospitali ya rufaa
ya Jeshi, Lugalo, baada ya maandalizi, miili hiyo itaagwa rasmi kwa
heshima zote Julai 22, 2013 kuanzia saa tatu kamili asubuhi katika
viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga, Upanga Jijini Dar es
Salaam.
Waandishi wa habari mnaombwa kuhudhuria na kufanya
‘Coverage’ katika mapokezi na hatimaye siku ya kuaga miili hiyo ya
mashujaa wetu waliopoteza maisha wakitetea amani duniani.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0783 309963
Email: ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Taarifa
Maalum Kwa Umma Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ):Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi
la ghafla, itawasili kwa ndege maalum katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere – Terminal one (Air Wing) saa tisa
alasiri Julai 20, 2013.
Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, itawasili kwa ndege maalum katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere – Terminal one (Air Wing) saa tisa alasiri Julai 20, 2013 badala ya saa nne kama ilivyoelezwa hapo awali, waandishi wa habari wanaruhusiwa kufika kuanzia saa saba Mchana.
Aidha, mara baada ya kuwasili miili hiyo itapelekwa katika hospitali ya rufaa ya Jeshi, Lugalo, baada ya maandalizi, miili hiyo itaagwa rasmi kwa heshima zote Julai 22, 2013 kuanzia saa tatu kamili asubuhi katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga, Upanga Jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari mnaombwa kuhudhuria na kufanya ‘Coverage’ katika mapokezi na hatimaye siku ya kuaga miili hiyo ya mashujaa wetu waliopoteza maisha wakitetea amani duniani.
Miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la ghafla, itawasili kwa ndege maalum katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere – Terminal one (Air Wing) saa tisa alasiri Julai 20, 2013 badala ya saa nne kama ilivyoelezwa hapo awali, waandishi wa habari wanaruhusiwa kufika kuanzia saa saba Mchana.
Aidha, mara baada ya kuwasili miili hiyo itapelekwa katika hospitali ya rufaa ya Jeshi, Lugalo, baada ya maandalizi, miili hiyo itaagwa rasmi kwa heshima zote Julai 22, 2013 kuanzia saa tatu kamili asubuhi katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga, Upanga Jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari mnaombwa kuhudhuria na kufanya ‘Coverage’ katika mapokezi na hatimaye siku ya kuaga miili hiyo ya mashujaa wetu waliopoteza maisha wakitetea amani duniani.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0783 309963
Email: ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0783 309963
Email: ulinzimagazine@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment