BREAKING NEWSSSS::::::MAPIGANO YATOKEA SUDAN NA WANAJESHI WA JWTZ WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA
Habari
kutoka vyanzo mbalimbali vilivyoko Sudan vinadai kuwa Kulfi kuwa na
mapigano makubwa yameyosababisha Askari takribani saba wa JWTZ kupoteza
maisha leo. Hii imetokea baada ya waasi kuwafanyia "ambush"
*
Ieleweke kuwa, Askari wetu kule ni peacekeepers na si peace enforcers.
Peace keepers huwa wanakuwa hatarini zaidi kwani hawaruhusiwi
kushambulia mpaka watakapoanzwa. Kutokana na hilo mara nyingi huwa
wanakuwa victims wa ambush attacks.
No comments:
Post a Comment