kama arsenal wangeondoka na ushindi walikuwa wamejiakikishia dhahiri nafasi hiyo.
Monday, April 29, 2013
ARSENAL YAANZA KUPOTEZA MATUMAINI NAFASI YA NNE
kufuatia kutoka sare na manchester united kupoteza matumaini kwa kikosi hicho kuweza kushika nafasi ya nne ambayo itawewezesha kushiriki michuano UEFA msimu mpya wa 2013/2014,
kama arsenal wangeondoka na ushindi walikuwa wamejiakikishia dhahiri nafasi hiyo.
Theo
Walcott wa Arsenal akishangilia bao lake la dakika ya pili ya mchezo wa
Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester United leo katika Uwanja wa
Emirates, jijini London. Mpaka mwisho wa mchezo, Arsenal 1 na Manchester
United 1.
Wayne
Rooney (kulia) akimpongeza Robin van Persie (katikati) baada ya
kuifungia Manchester United bao la kusawazisha katika dakika ya 44 ya
mchezo dhidi ya Arsenal leo. Mchezo huo umepigwa katika Uwanja wa
Emirates, jijini London.
kama arsenal wangeondoka na ushindi walikuwa wamejiakikishia dhahiri nafasi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment