http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, March 2, 2013

Real Madrid wakataa uwanja wa Old Trafford kwa ajili ya mazoezi na kuamua kutumia uwanja wa ETIHAD wa manchester city.

KLABU ya Manchester City imeisaidia Real Madrid kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester United kwa kuwapa Uwanja wa Etihad wafanyie mazoezi.
Jose Mourinho hakutaka kuutumia Uwanja wa Old Trafford kwa sababu una pitch mbaya na sasa watatumia Uwanja wa City. 
Kutokana na matatizo ya ratiba za ndege kutoka Hispania, kocha huyo wa Real na timu yake hawatapata fursa ya kufanya mazoezi nyumbani Jumatatu kwa sababu ya kuwahi.
Helping hand: Roberto Mancini's side are aiding Madrid before their clash with Sir Alex Ferguson's team
Mkono wa msaada: Timu ya Roberto Mancini imeipa Uwanja wa mazoezi Madrid kabla  ya kuvaana na timu ya Sir Alex Ferguson.
Snub: The match venue, Old Trafford, has been rejected as a training base by Mourinho
Uwanja wa mechi, Old Trafford, umekataliwa na Mourinho kwa mazoezi
Wary: Jose Mourinho does not want to be spied on ahead of the game
Jose Mourinho 

No comments:

Post a Comment