http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, March 30, 2013

GHOROFA LILILOPO JIRANI NA GHOROFA LILILODONDOKA HIYO JANA HATIHATI KUBOMOLEWA

Ghorofa lililopo jirani na ghorofa lilianguka jana katikati ya Jiji la Dar es salaam lipo kwenye hati hati ya kubomolewa baada ya kuonekana limejengwa chini ya Kiwango.Jengo hilo pia limejengwa na mkandarasi Lucky Construction Limited ambaye ndiye aliyejenga ghorofa lililoporomoka jana.

Picha na Michuzi Blog.

2 comments:

  1. Tena libomolewe haraka sana maana litatuulia watu wetu bure.Hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi wanaokuwa na makampuni na kisha hawawezi kutoa huduma inayotakiwa,hawa wako wengi katika nchi hii ambao ni viongozi na pia ni wakandarasi kwa secta mbalimbali,lakini ubora wa huduma yao ni hafifu sana.

    ReplyDelete
  2. Tena libomolewe haraka sana maana litatuulia watu wetu bure.Hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi wanaokuwa na makampuni na kisha hawawezi kutoa huduma inayotakiwa,hawa wako wengi katika nchi hii ambao ni viongozi na pia ni wakandarasi kwa secta mbalimbali,lakini ubora wa huduma yao ni hafifu sana.

    ReplyDelete