mchezaji huyo bora kwa ufungaji kwa timu ya taifa lake (uingereza) kama namba kwa ufungaji
ametangaza rasmi kuachana na soka katika mwisho wa msimu huu
. na mechi nyingie iliyomfanya aonekane bora ni pale aliloptupia hatrick (mabao matatu katika mechi ya uingereza dhidi ya ujerumani katika ushindi wa goli
5-1 mnamo 2001.
katika maisha yake ya soka michael owen ameonekana dimbani mara 350.kwa Liverpool, Real Madrid
and Manchester
United
No comments:
Post a Comment