http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Wednesday, February 19, 2014

TASWIRA,MGOMBEA WA CCM NA CHADEMA UBUNGE KALENGA WALIVYORUDISHA FOMU

Wana CCm wakimsindikiza Mgombea ubunge wa CCM Kalenga Bw Mgimwa kurejesha fomu leo


Grace Tendega Mvanda  akirudisha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi Pudenciana Kisika
Hapa akikabidhi fomu yake  kwa Msimamizi wa Uchaguzi, Pudenciana  Kisika
Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa wa pili kushoto akiwa ameshika bendera ya CCM akielekea kurudisha  fomu 


Wana CCm wakimsindikiza  Mgombea  ubunge wa CCM Kalenga Bw Mgimwa kurejesha  fomu  leo 

Makada  wa Chadema  wakimsindikiza  mgombea  wao jimbo la kalenga leo 

msafara wa mgombea  ubunge  jimbo la kalenga kupitia  Chadema 

No comments:

Post a Comment