http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Tuesday, February 18, 2014

Picha Msafara wa Kiongozi wa CHADEMA Uliposimamishwa na Polisi Mkoani Iringa

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wameuzua msafara  wa mgombea  ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu.A
Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya  kuruhusiwa  gari lake kupita 

ENDELEA KUTIZAMA TUKO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Hapa  polisi  wakimtazama  mgombea  huyo akipita  mbele yao

No comments:

Post a Comment