“Mkwanda
ameipa fedhea familia yetu, hii ni aibu kubwa ukizingatia vitendo hivyo
vinakatazwa si Tanzania tu bali na kwenye nchi nyingine,” alisema
Matumla jana katika mahojiano na gazeti hili.Mkwanda
ambaye kwa mujibu wa Rashid alipumzika kucheza ngumi miaka kadhaa
iliyopita kutokana na kusumbuliwa na maradhi alikamatwa wiki iliyopita
nchini Ethiopia akiwa na mchezaji wa zamani wa Simba, Joseph Kaniki na
leo watapandishwa kizimbani nchini humo kwa tuhuma hiyo.
No comments:
Post a Comment