Katidis, 20, alikuwa ni kapteni wa timu ya 
taifa chini ya miaka  19, alishangilia kwa saluti ya kinazi baada ya 
ushindi wa ,2-1  ambapo yeye alifunga goli la ushindi katika ligi kuu ya
 UGIRIKI dhidi ya  Veria
kwa hali hiyo inaonesha kukumbusha machungu kwa wale wote walioathirika na utawala wa kinazi kwani vitu aina hyo ya ushangiliaji haufai katika michezo
baada ya tukio hilo mchezaji huyu aliandamwa sana na wanasiasa na wanamichezo katika mtandao wa kijamii wa facebook na twitter kwa kumkosoa kwa tukio lile,
na mchezaji huyo kaombwana chama cha soka cha ugiriki kuelezea yeye mwenyewe sababu iliyomfanya kufaya tukio hilo,

No comments:
Post a Comment