Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni
akitoka kazini ndipo huenda shule. Sasa akiwa njiani kuelekea chuo
akapigiwa simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni
daktari wa lugaro hospitali na kumuulizia habari za mwanae ambae
alishawahi kwenda kumtibu pale na chakushangaza zaidi akataja mpaka aina
na rangi ya nguo aliyovaa siku ile alipokwenda hapo hospitali na yote
yalikuwa kweli. Na zaidi akamwambia najua sasa hivi unaelekea chuo
buguruni na kweli ilikuwa hivyo, lakini mwishoni akamweleza kwamba kuna
mambo anataka kujua kuhusu hicho chuo hivyo nae anaelekea huko hivyo
akifika tu atamtafuta. Kwa muda wote huo huyo dada hakuweza kabisa
kumkumbuka ila akajipa moyo kwamba yamkini huyo mtu atakuwa anamfahamu
vizuri.
Baada ya kutoka chuo akiwa na wenzake watatu akawa
anawasimulia habari za huyo mtu ndipo simu yake ikaita,kupokea yule mtu
akamwambia nakuona uko na wenzio wawili
mnavuka barabara na kumueleza jinsi alivyovaa sasa wenzie wakasema huyo
mtu anakufahamu haiwezekani hapa tupo watatu kweli na ameweza
kukutambua. Kisha huyo mtu akamwelekeza mahali alipo ambapo haikuwa
mbali na barabara.
Lakini alipomtazama hakumfahamu kabisa, basi
akampa mkono kumsalimia, baada ya hapo hakujitambua na zaidi alijikuta
yuko maeneo ya chuo kikuu cha DSM akiwa hoi. Kuangalia simu na kila kitu
chake kilikuwa salama na hakufanyiwa kitu chochote, kwa bahati kulikuwa
kuna ndugu yake anasoma chuo hivyo akawasiliana nae ili kupata msaada
ikabidi awahishwe mwananyamala hospitali lakini ikaonekana sumu
iliyotumika ni kali na dawa yake wanayo hospitali ya regency, hivyo
akawahishwa regency na kupata matibabu.
Baada ya ufahamu kumrudia
akakuta mtu huyo kachukua pesa zote kwenye M-pesa,tigo pesa na bank (
NMB na CRDB) kiasi cha milioni 3, hivyo inawezekana walipompa sumu
alitaja password pasipo kujijua.
Na bank walipotazama kwenye ATM
Camera waliona picha ya huyo mtu na yeye alimkumbuka vizuri, lakini
polisi Kijitonyama wakakiri kwamba kesi hizo sasa hivi zimetokea mara
nyingi na huo mtandao ni mkubwa, walipoenda kwenye usajili wa simu
walikuta ni huyo huyo na jina lake ndilo alilojitambulis ha. Ingawa
polisi wameshindwa kumkamata.
Akiwa kituo cha polisi mara huyo mtu
akampigia simu akimwambia ‘’kumbe wewe ni muoga sana tutakurudishia pesa
zako’’. Sasa kumbe wanachofanya wanakuambia’’ tutafutie mtu ambae
unahisi ana pesa kuliko hizi halafu tukifanikiwa tutarudisha pesa zako’’
hivyo inawezekana nae kuna mtu anaemjua alifanyiwa hivyo akaamua
kumtaja yeye.
HIVYO NI KUOMBA MUNGU NA KUWA WAANGALIFU
Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule. Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni daktari wa lugaro hospitali na kumuulizia habari za mwanae ambae alishawahi kwenda kumtibu pale na chakushangaza zaidi akataja mpaka aina na rangi ya nguo aliyovaa siku ile alipokwenda hapo hospitali na yote yalikuwa kweli. Na zaidi akamwambia najua sasa hivi unaelekea chuo buguruni na kweli ilikuwa hivyo, lakini mwishoni akamweleza kwamba kuna mambo anataka kujua kuhusu hicho chuo hivyo nae anaelekea huko hivyo akifika tu atamtafuta. Kwa muda wote huo huyo dada hakuweza kabisa kumkumbuka ila akajipa moyo kwamba yamkini huyo mtu atakuwa anamfahamu vizuri.
Baada ya kutoka chuo akiwa na wenzake watatu akawa anawasimulia habari za huyo mtu ndipo simu yake ikaita,kupokea yule mtu akamwambia nakuona uko na wenzio wawili mnavuka barabara na kumueleza jinsi alivyovaa sasa wenzie wakasema huyo mtu anakufahamu haiwezekani hapa tupo watatu kweli na ameweza kukutambua. Kisha huyo mtu akamwelekeza mahali alipo ambapo haikuwa mbali na barabara.
Lakini alipomtazama hakumfahamu kabisa, basi akampa mkono kumsalimia, baada ya hapo hakujitambua na zaidi alijikuta yuko maeneo ya chuo kikuu cha DSM akiwa hoi. Kuangalia simu na kila kitu chake kilikuwa salama na hakufanyiwa kitu chochote, kwa bahati kulikuwa kuna ndugu yake anasoma chuo hivyo akawasiliana nae ili kupata msaada ikabidi awahishwe mwananyamala hospitali lakini ikaonekana sumu iliyotumika ni kali na dawa yake wanayo hospitali ya regency, hivyo akawahishwa regency na kupata matibabu.
Baada ya ufahamu kumrudia akakuta mtu huyo kachukua pesa zote kwenye M-pesa,tigo pesa na bank ( NMB na CRDB) kiasi cha milioni 3, hivyo inawezekana walipompa sumu alitaja password pasipo kujijua.
Na bank walipotazama kwenye ATM Camera waliona picha ya huyo mtu na yeye alimkumbuka vizuri, lakini polisi Kijitonyama wakakiri kwamba kesi hizo sasa hivi zimetokea mara nyingi na huo mtandao ni mkubwa, walipoenda kwenye usajili wa simu walikuta ni huyo huyo na jina lake ndilo alilojitambulis ha. Ingawa polisi wameshindwa kumkamata.
Akiwa kituo cha polisi mara huyo mtu akampigia simu akimwambia ‘’kumbe wewe ni muoga sana tutakurudishia pesa zako’’. Sasa kumbe wanachofanya wanakuambia’’ tutafutie mtu ambae unahisi ana pesa kuliko hizi halafu tukifanikiwa tutarudisha pesa zako’’ hivyo inawezekana nae kuna mtu anaemjua alifanyiwa hivyo akaamua kumtaja yeye.

hiyo khali tete
ReplyDelete