http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, December 29, 2018

Wanachama na wapenzi wa Yanga SC wamekuja kivingine:-


Haya ni 'MABAKULI' waliyo design kwa kukusanya michango siku ya leo uwanjani, na hawa picha ndio wakusanyaji rasmi watabeba haya 'MABAKULI' yaliyofungwa ipasavyo huku shingoni wakiwa wamening'iniza vitambulisho vyao! makusanyo yote moja kwa moja watakabidhiwa wachezaji na benchi la ufundi jioni ya leo. . Hii ndio Yanga timu ya wananchi!
SHIME MWANA YANGA USITOKE UWANJANI BILA KUWEKA CHOCHOTE!

Saturday, April 7, 2018

NI KWELI ETI HAYA??????

unakubali asilimia ngapi????????????

Vyakula 10 vyenye virutubisho vingi zaidi



Afya ni chakula na namna ya kuishi kwa ujumla. Wataalamu wanashauri kuwa vyakula vifuatavyo ndivyo vyenye virutubisho vingi zaidi mwilini.
10. Maparachichi
Related image
9. Mboga aina ya Kale
Image result for kale vegetable
8. Viazi vitamu
Image result for sweet potato
7. Blueberries
Related image
6. Almond (Jamii ya karanga)
Image result for almonds
5. Ma-apple
Image result for apples
4. Samaki kibua
Related image
3. Oats
Related image
2. Kitunguu saumu
Image result for garlic
1. Brocolli
Related image

Wednesday, October 18, 2017

Rasi Jacob Zuma abadili Baraza la Mawaziri, yadaiwa ni maandalizi ya kuzalisha nishati kwa Nyuklia

f63d8486acee05b8b799b7e749f4cbef8fab7f2f.jpg

AFRIKA KUSINI: Rais Zuma abadili Mawaziri katika Wizara 6 ikiwemo Wizara ya Nishati. Inadaiwa ni maandalizi ya mpango wa Nyuklia.
  • Taifa la Afrika Kusini linajiandaa kuingia ktk makubaliano ya kuzalisha nishati kwa kutumia nguvu ya nyuklia kwa ushirikiano na Urusi.
  • Rais Jacob Zuma amemuhamisha David Mahlobo(ambaye ni mshirika wake mkubwa) kutoka kuwa Waziri wa Ulinzi na kumpa Wizara ya Nishati.
  • Rais Zuma amemuondoka katika baraza lake Blade Nzimande aliyekuwa Waziri wa Elimu ya Juu ambaye aliwahi kumkosoa Rais huyo hadharani.
  • Nzimande ambaye kiongozi wa SACP chama kilichounda Serikali kwa kushirikiana na ANC. Anaweza kukiondoa chama chake ktk muungano huo
======

Johannesburg, South Africa: President Jacob Zuma has reshuffled his cabinet, adjusting six portfolios including the Ministry of Energy, in a move analysts say is linked to a contentious nuclear energy deal with Russia.

In a statement issued on Tuesday, the presidency said it had moved David Mahlobo, former minister of state security and a longtime Zuma ally, to the energy portfolio.

Zuma also fired Blade Nzimande, the minister of higher education and training, in a move understood as punitive after Nzimande criticed the president.

Nzimande is also the General Secretary of South African Communist Party (SACP), a key partner in the tripartite alliance with the ANC-led government. His removal from government has prompted speculation that the SACP may leave the alliance.

Political analyst Steve Friedman, director of the Centre for the Study of Democracy at the University of Johannesburg, told Al Jazeera that Mahlobo's appointment was the most important development.

"He is considered a hyper-Zuma loyalist. It seems he has been moved into this position to push through the nuclear deal," Friedman said.

Zuma appeared to hedging bets, Friedman explained, before the party conference in December 2017 when the ANC will elect a new leader.

"Should Zuma lose that election, he has put in place a loyalist in the ministry so he can nail down the nuclear deal [in the future]," Friedman said.

The South African government has been trying to push through a contentious nuclear energy deal to the tune of $74bn with Russia, which is thought to have been struck when Zuma met Russian President Vladimir Putin in 2014.

In April, the Western Cape High Court ruled that the potential deal with Russia was unlawful and unconstitutional and that if government wanted to proceed, it would have restart the process.

Liz McDaid, an environmentalist with Southern African Faith Communities Environment Institute - one of the organisations that took the state to court - described Mahlobo's appointment as "systematic state capture".

"This appointment was not dreamt up last night. It is an obvious attempt to make this [nuclear] deal happen in the future," McDaid said.

In September, HuffPost South Africa reported that Mahlobo had become country's de facto prime minister and the president's "right hand man". Mahlobo himself has been criticised for his dealings.

In late 2016, an Al Jazeera investigation found that Mahlobo had a close relationship with alleged rhino-poaching kingpin Guan Jiang Guang.

Tuesday's developments mark second time in 2017 that Zuma has reshuffled his cabinet. In March, Zuma fired five ministers, including then finance minister Pravin Gordhan and his deputy, Mcebisi Jonas.

Zuma has been under growing pressure to step down following the publication of a report by the public protector that concluded that Zuma's government had been potentially "captured" by private capital, in particular by the wealthy and influential Gupta family, who hold a range of business interests in South Africa.

In August, Zuma narrowly survived a no-confidence vote held by secret ballot in parliament. Members of the 400-seat parliament voted 198 to 177, with nine abstentions.

SOURCE: Al Jazeera

Craig Shakespeare afungashiwa virago Leicester City

nintchdbpict000306496363-e1488726855969.jpg

ENGLAND: Uongozi wa klabu ya soka ya Leicester City umemfukuza kazi kocha wa timu hiyo, Craig Shakespeare.
  • Craig Shakespeare emefungashiwa virago ikiwa ni miezi 4 tangu aliposaini mkataba wa miaka 5 ya kuinoa Leicester City.
  • Craig Shakespeare mwenye umri wa maiaka 53 alichukua mikoba ya kuinoa timu hiyo baada ya kumfukuzwa Claudio Ranieri aliyechukua ubingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza(EPL) 2015/16.
=====
Leicester City has sacked manager Craig Shakespeare just four months after he signed a three-year deal to take the job on a permanent basis.

The Foxes are third from bottom in the Premier League and have not won any of their past six league matches.

Shakespeare, 53, succeeded title winner Claudio Ranieri in February, initially on a temporary basis.

After steering the Foxes away from trouble to finish in 12th place, he was given the job permanently in June.

- BBC Sports

Kamishna wa Tume ya Uchaguzi ajiuzulu, asema tume imegawanyika na inafanya kazi bila kuzingatia utaratibu


Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Roselyn Akombe ajiuzulu, asema tume imegawanyika na inafanya kazi bila kuzingatia utaratibu

  1. Dr. Akombe alituma taarifa kutoka New York alipokuwa akifanya kazi Umoja wa Mataifa kabla ya kwenda kufanya kazi tume ya uchaguzi

    Katika taarifa hiyo Dr. Akombe alisema uchaguzi uliopangwa kufanyika hauwezi kukidhi matakwa ya uchaguzi unaoaminika

    '' Kwa jinsi tume ilivyo sasa ni hakika haiwezi kutuhakikishia uchaguzi utakaoaminika tarehe 26 Oktoba. Sitaki kuwa sehemu ya dhihaka hiyo kwa uchaguzi wa kiadilifu''

    Akihojiwa na shirikala utangazaji la BBC Jumatano Asubuhi, amesema amekimbilia New York akihofia usalama wa maisha yake na pia na kuongezea Mwenyekiti wa Tume hiyo, Wafula Chebukati amezingirwa

    Alikuwa ni sehemu ya timu iliyokuwa isafiri kwenda Dubai kusimamia kuchapishwa kwa karatasi za uchaguzi

    =============================================
    IEBC commissioner Roselyn Akombe has resigned from the poll agency.

    Dr Akombe sent the statement from New York, where she was based, working for the UN, before she took the job at the electoral commission.

    In the statement, Dr Akombe said the repeat election as planned cannot meet the basic expectations of a credible election.
    ELECTORAL INTEGRITY
    "The commission in its current state can surely not guarantee a credible election on October 26. I do no want to be party to such a mockery to electoral integrity," she said.

    In an interview with the BBC Wednesday morning , Dr Akombe said she went to New York fearing for her life. She said IEBC chairman Wafula Chebukati is under siege.
    In her statement she said it is unacceptable for any party to disrupt, attack IEBC staff; says acts must be condemned and action taken against perpetrators.

    "It broke my heart in the last few days to listen to my staff in the field, majority of whom truly want to do the right thing, express to me their safety and security concerns. I shared detailed reports from staff in four of the Counties most hit by the ongoing protests - Nairobi, Siaya, Kisumu, and Homa Bay - with the hope that this will bring sobriety to our decision making.

    "Instead this was met with more extremist responses from most Commissioners, who are keen to have an election even if it is at the cost of the lives of our staff and voters," she said.

    She was supposed to be part of a team that is in Dubai to monitor the printing of ballot papers.

    Dr Akombe toured Nyanza and the Western region last week as the commission worked to train officers to handle elections.

    Source: Daily Nation

Thursday, September 28, 2017

ARSENAL YAPIGA 4-2 EUROPA LEAGUE UKU GIROUD AKIWEKA RECORD YA KUFIKISHA MAGOLI 100


hiki ndicho kilichotokea kwenye bunge la uganda hii leo.


KELVIN YONDANI APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MASHABIKI WA YANGA

Wanachama wa Yanga SC kutoka Group la 'Yanga 4 Life' kwenye mtandao wa kijamii wa Whatsapp asubuhi hii wametoa kiasi cha TSh. 500,000/= Kwa Kelvin Yondani kama zawadi kwa mchezo mzuri aliouonyesha kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ndanda Fc jumamosi iliyopita na kuchaguliwa mchezaji bora wa mchezo huo kwa Kikosi cha Yanga.

Man United Yaandaa Paundi Milioni 88 Kumnasa Griezmann Baada Ya Costa Kutua Atletico

MANCHESTER, Uingereza- Manchester United wapo kwenye mchakato wa kumnasa mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann kwa kitita cha paundi milioni 88 huku kocha Jose Mourinho akiwataka mabosi wa klabu hiyo kuhakikisha dili hilo linakamilika.
Tovuti ya The Express ya nchini Uingereza inaripoti kuwa Mourinho ameupa kipaumbele usajili wa mfaransa huyo mwishoni wa msimu baada ya kushuhudia akiikosa saini yake kwenye dirisha la usajili lililofungwa Septemba 1 mwaka huu.
Mourinho amekuwa na shauku kubwa ya usajili huo licha ya Atletico Madrid kufungiwa na FIFA kufanya usajili hadi Januari mwakani, lakini hata hivyo United wameendelea kufanya ushawishi huku wakitajwa kuweka paundi milioni 88 ambacho ni kiasi cha kumuuza mchezaji huyo kama ambavyo mkataba wake unahitaji
Matumaini ya kumsajili Griezmann kwa United yamekuwa makubwa hasa baada ya Atletico Madrid kukamilisha usajili wa Diego Costa kutoka Chelsea ambae atajiunga na kikosi hicho mwezi Januari mwakani
SOURCE

MATOKEO YA MECHI 8 ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 27/09/2017



Club ya Chelsea ya England usiku wa September 27 2017 ilikuwa nchini Hispania kucheza mchezo wake wa hatua ya Makundi wa UEFA Champions League dhidi ya mwenyeji wao Atletico Madrid katika uwanja wa Wanda Metropolitano.

Pamoja na Chelsea kuwa ugenini dhidi ya Atletico Madrid, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, Atletico Madrid ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dhidi ya Chelsea dakika ya 40 kwa mkwaju wa penati uliyopigwa na Antoinne Griezmann.

Dakika ya 60 Alvaro Morata akafunga goli la kuisawazishia Chelsea  kabla ya dakika ya 90 Michy Batshuayi kufunga goli la ushindi kwa Chelsea na kufanya Chelsea kuondoka na point zote tatu kutoka katika uwanja wa Wanda Metropolitano.


TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU WHITELAKE HIGH SCHOOL (DAR) FURSA YA AJIRA


Wednesday, September 13, 2017

MAAGIZO YA JOB NDUGAI KWA ZITTO NA KUBENEA



Siku tatu baada ya Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea kuhudhuria katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima kwa ajili ya maombi ya kumuombea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana.
Kubenea
Spika ameagiza kamati mbili za Bunge ikiwemo ya ulinzi kumleta Bungeni Mbunge huyo Saed Kubenea kesho kwa njia yoyote ili ajibu kauli alizozitoa kanisani hapo kuhusu Spika kudanganya idadi za risasi alizofyatuliwa Mbunge Tundu Lissu.
Zitto Kabwe
Hata hivyo Spika Ndugai pia ameagiza Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kumuhoji Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kuhusu kauli alizozitoa kwenye mitandao ya kijamii.

Golikipa aliyedaka Simba Day August 8 2017 amefariki dunia




Ulimwengu wa soka leo umepata pigo jingine baada ya kumpoteza mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyokuwa anaichezea Beijing Enterprises Cheick Tiote, leo zimeripotiwa habari za kufariki kwa golikipa wa club ya Rayon Sports ya Rwanda Evariste Mutuyumana.
Golikipa wa Rayon Sports Evariste Mutuyumana amefariki dunia baada ya kupata tatizo la kushindwa kupumua vizuri, kama utakumbuka vizuri Evariste Mutuyumana ni miongoni mwa wachezaji wa Rayon waliyokuja Tanzania kucheza na Simba katika mchezo wa Simba Day.

Evariste Mutuyumana
Evariste Mutuyumana ndio golikipa wa Rayon Sports aliyedaka katika mchezo wa Simba Day August 8 2017 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na Simba kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na kiungo wao Mohamed Ibrahim dakika ya 16.
SOURCE: AzamTV Instagram

Saturday, September 2, 2017

Arsenal yamwangusha Alexis, Mourinho afurahia - Mwanzo mwisho dirisha la usajili
Meshack Brighton
Getty
Dirisha la usajili wa Majira ya joto lilikuwa la kuvunja rekodi kwa matumizi lakini nani alikuwa na furaha Uingereza na nani alipatwa na huzuni?

WASHINDI: MAN UTD NA MOURINHO

Romelu Lukaku Manchester United

Katika uhalisia duniani kote Jose Mourinho atakuwa amepata mshambulizi wa ziada kwenye safu yake ya ushambuliaji zaidi ya Marcus Rashford na Anthony Martial waliokuwepo tangu mwanzo. Gareth Bale na Ivan Perisic walihusishwa na tetesi za kutaka kutua Old Trafford lakini United iliamua kusajili wachezaji wengine. Klabu hiyo imeridhishwa na usajili wao katika soko la uhamisho.

Nemanja Matic alitua kwa kitita cha £40 milioni na si tu kwamba ameleta uwiano mzuri kwenye timu lakini pia amempa uhuru zaidi Paul Pogba kuleta ushawishi mkubwa kwenye mchezo.

Romelu Lukaku ameanza kampeni kwa kufunga mabao matatu mechi za mwanzo. Atakuwa miongoni mwa wachezaji vinara wa Ligi Kuu Uingereza ifikapo mwisho wa msimu na ataisadia zaidi safu ya mashambulizi ya Mourinho.

Victor Lindelof bado hajaanza kazi yake lakini hatapata tabu kuzoea soka la Uingereza. Ataimarisha beki ya kati ya United kwani atakuwa na ushirikiano mzuri na Eric Bailly.

Kwa ufupi ni msimu bora wa majira ya joto kwa United.
WASHINDI: WEST BROM

Krychowiak Poland

Grzegorz Krychowiak alisajiliwa PSG msimu uliopita majira ya joto na mambo hayakumwendea vizuri mchezaji huyo wa kimataifa wa Polandi katika Parc des Princes, lakini bado ni kiungo mwenye uwezo mkubwa. Ataisaidia West Brom na kumpa Tony Pulis utawala zaidi dimbani.

Kieran Gibbs ni mchezaji mwenye uzoefu wa michuano ya Ligi ya Mabingwa alioupata kutoka Arsenal na amecheza katika kiwango cha hali ya juu katika kipindi cha miaka kumi. Ni mchezaji mwenye weledi na mbinu kama beki wa kushoto.

Oliver Burke alikuwa moja ya wachezaji muhimu katika soko la Ulaya msimu uliopita kabla ya kuamua kujiunga na RB Leipzig lakini alishindwa kuzoea mazingira ya Bundesliga. Bila shaka wakati huuu ataweza kufanya maajabu soka la Uingereza.
MSHINDI: PAUL CLEMENT

Paul Clement Swansea City

Usajili pekee wa mwaka na umewagharimu €8.5m lakini bado mashabiki wa Swansea City hawatajiona wanyonge baada ya kumsajli Renato Sanches kutoka Bayern Munich.

Sanches alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa taji la Euro msimu uliopita wa majira ya joto akiwa na Ureno na alikuwa mchezaji bora kinda wa michuano hiyo. Na alikuwa kijana wa dhahabu "Golden Boy" lakini alishindwa kutakata Bayern.

Paul Clement: Meneja huyo wa Swansea ametumia muda mwingi katika soka pembeni mwa Carlo Ancelotti na amefanikiwa kumpata Sanches kwa upendeleo.
KILAZA: ANTONIO CONTE

Antonio Conte Chelsea

Antonio Conte aliondoka Juventus kwa fedheha waliposhindwa kumpatia wachezaji aliowataka kwenye soko la usajili 2014. Aliwapatia mataji matatu mfululizo lakini alihisi wasingeweza kupiga hatua kubwa bila ya kusajli wachezaji aliokuwa akiwataka. Haikuwezekana na aliamu kuondoka.

Chelsea walicheza kwa moto msimu uliopita lakini hawajafanikiwa kuimarisha tena kikosi chao kilichotwaa taji Ligi Kuu Uingereza. Alvaro Morata, Tiemoue Bakayoko na Antonio Rudiger walisajiliwa kuchukua nafasi ya Diego Costa, Nemanja Matic na John Terry. Wachezaji muhimu kuimarisha kikosi chake lakini Conte lakini bado hajaridhika.

Romelu Lukaku alikuwa kwenye malengo yake lakini Manchester United ilimpiku. Fernando Llorente aliamua kutua Spurs. Alex Oxlade-Chamberlain alitimkia Liverpool. Dakika za mwisho kabisa kabla ya kufungwa dirisha la usajli bado walikuwa kwenye mazungumzo na Riyad Mahrez na Ross Barkley lakini mchezaji huyo wa Everton aliamua kuitosa Chelsea.

Danny Drinkwates amewasili akitokea Leicester City, lakini £35m ni nyingi sana kwa mchezaji huyo.

Swala la Costa bado halijatatuliwa yote ni kwa sababu ya mawasiliano duni ya Conte mwishoni mwa msimu. Matic aliruhusiwa kuondoka kujiunga na mahasimu wao. Na bado Chelsea hawajapata mbadala.
VILAZA: EVERTON

Wayne Rooney Everton

Juu juu mashabiki wa Everton wana mengi ya kujivunia. Wamepata mmiliki mpya Farhad Moshiri, ambaye ameahidi kutumia fedha nyingi kufanya usajili na meneja hakuona sababu ya kutoimarisha kikosi chake. Wameleta wachezaji wazawa wenye uwezo wa hali ya juu Jordan Pickford na Michael keane na Steve Walsh mkurugenzi wa soka ambaye alifanya usajili uliotwaa taji Leicester.

Lakini kama ukienda ndani zaidi kidogo utabaini mambo si shwari sana. Usajili wa Pickford, Keane na Davy Klaassen unawawezesha kuziba nafasi ya Joel Robles, ambaye hajawahi kuwa katika ubora, John Stone ambaye nafasi haikuwa imepata mbadala msimu uliopita, na Gareth Barry.

Pamoja na mauzo ya Lukaku £90m kwenda Manchester United, bado kurejea kwa Wayne Rooney hakuna tija kwao. Lukaku alikuwa akiimarisha timu jambo ambalo Rooney hataweza ukizingatia anatimiza miaka 32 mwezi Oktoba.

Mrithi wa Romelu Lukaku, Sandro hana viwango vya kuwa mshambuliaji bora duniani na atalazimika kufanya juhudi nyingi kuifikia shughuli ya Mbelgiji huyo aliyeondoka.
KILAZA: ALEXIS SANCHEZ

Friday, December 9, 2016

Klabu ya Arsenal imepost ujumbe kuhusu Uhuru wa Tanzania bara

arsenalWakati Tanzania bara ikisherekea miaka 55 tangu ipate uhuru wake, klabu ya Arsenal inayocheza ligi kuu ya England imepost picha kwenye mtandao wa Facebook ya bendera ya Tanzania iliyoandikwa ‘Happy Independence Day Tanzania.’
Si jambo dogo kwa klabu kubwa kama Arsenal kuonesha kutambua siku hii muhimu ya kitaifa kwa Tanzania ambayo huadhimishwa kila mwaka, sherehe za maadhimisho ya Uhuru zimefanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli.
Arsenal pia inamashabiki wengi nchini na huenda taarifa hii ikawa njema zaidi kwao kwa kuona ni namna gani klabu wanayoipenda imeguswa na tukio muhimu katika taifa lao.
arsenal