Mshiriki akiwa mbele ya Majaji
Washiriki wakiwa kwenye Mapozi ya Ukodak
Washiriki wakiwa kwenye Mapozi ya Ukodak
Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye
maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika
usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & CasinoNa mtoto Ijeoma
Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand
new car.
No comments:
Post a Comment