http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Monday, July 15, 2013

Topic: Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono

 nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu.

Mimi ni binti, kwa umri wangu huu wa Miaka 28 tayari nimeshakuwa na Mahusiano na wanaume 14 na pia nimeshatembea na wanaume karibia 25, wale wa Kunichojoa na kuniacha, out of hao 14 coz hao niliwahi ishi nao pika pakua kila mmoja kwa muda wake (ila hawakuwahi kunioa) ila hawa 25 ni wale wa One night stand.

Sasa kinachoniumiza zaidi ni kuwa hivi karibuni nimebahatika kumpata kaka ambae ameridhika na mimi na anahitaji tufunge pingu za Maisha, ila swala linakuja hapa ni kuwa siwezi, siwezi na siwezi ku-do na mwanaume mmoja maisha yangu yote yaliyobaki, yaani huyo atakaenioa.

Nifanyeje?

Yaani kiufupi ni kwamba ninaweza kufanya mapenzi ktk mazingira yoyote yale, naweza nikutane na mwanaume Club nikaondoka nae, nikitongozwa kwenye daladala twende, nikitongozwa sokoni twende, mkutanoni twende, kazini ndo usiseme, nimetembea na Wafanyakazi wenzangu 7 na wote wameniacha.

Nafsi yangu huwa inakataa lakini macho na mwili hukubali haraka sana.

Nimepima H.I.V niko Neg, sema tatizo ndo hilo. Napenda sana ngono tena sana yani siwezi pitisha siku 1 au 2 bila kufanya mapenzi.

Je, Na hali hii, Ndoa nitaiweza kweli?
kutoka jamii forum

No comments:

Post a Comment