http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Friday, July 5, 2013

BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA.


 BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA
 ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKEA
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA 

Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika. 

No comments:

Post a Comment