http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg

Saturday, March 2, 2013

WATU WANENE WATENGENEZEWA SITI ZAO MAALUM,,,,KOMBE LA DUNIA 2014:


 
Wakati Brazil wakiwa bado wanapambana kukamilisha ujenzi wa viwanja vya soka kwa ajili ya kutumika kwenye 2014 World Cup na kombe la mabara, imegundulika kwamba zimetengenezwa siti maalum kwa ajili ya watu wanene(vibonge). 

Ripoti iliyotolewa na The Sun inasema kwamba siti hizo kwa ajili ya watu vingonge ni pana mara mbili kuliko zile za kawaida na zinaweza kuhimili uzito wa mtu 560 lbs. 

Hatua hii imekuja kutokana na uzoefu uliopatikana kwenye michuano kadhaa mikubwa iliyopita juu ya shida waliyokuwa wamepata watu maumbo makubwa.

No comments:

Post a Comment