1 KUONGEA NA
KUKAAMUDA MWINGI NA WEWE
kama msichana anakupenda hatoichezea nafasi ya
kukuona kukaa na kuongeana wewe. Siku zote atatafuta
nafasi ya kuongea au kukuona. Unapoongea naye
anakuwa makini kukusikiliza na hufurahi kila
unachokiongea hata kama hakifurahisha.
kama msichana anakupenda hatoichezea nafasi ya
kukuona kukaa na kuongeana wewe. Siku zote atatafuta
nafasi ya kuongea au kukuona. Unapoongea naye
anakuwa makini kukusikiliza na hufurahi kila
unachokiongea hata kama hakifurahisha.
2 ATAKUPA MAWASILIANO YAKE
hawezi kukunyima namba ya simu kwa mara ya kwanza
hata kama ni siku ya kwanza mmeonana.
3 ATAKUTAMBULISHA KWA NDUGU NA RAFIKI ZAKE
hajali wengine wakimtazama wanapomuona yu na wewe.
Atakutambulisha kwao bila kujali chochote.
4 WIVU
anajisikia wivu anapokuona na wasichana wengine.
Unachart nao ukiwaita majina ya kimahaba.
5 ATAKUMBUKA SIKU ZAKO MUHIMU
atajitahidi kukumbuka siku yako ya kuzaliwa na hata
akakuletea zawadi. Akisha gundua kitu cha pekee
ulichokuwa ukikitarajia umekifanikisha kama kufaulu
mtihani haraka sana atajitahidi kukupongeza.
6. MAENDELEO YA BAADAYE
hupenda kuongelea maendeleo yake ya baadaye
na kukujumuisha katika hayo. Yupo tayari hata
kukushirikisha katika ndoto zake .
No comments:
Post a Comment