Staa
wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja leo amekolewa na Wema Sepetu kwenda jela
miaka mitano baada ya Wema kulipa faini ya milioni 13 aliyotakiwa kulipa
Kajala,
taarifa upande wa mumewe bado hazijapatikana kama hataweza kufanikiwa kulipa faini hiyo ya millioni 200 au panga la kwenda jera
kuweza kumkuta
No comments:
Post a Comment