Watu
7 wamekufa papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa baada ya
basi la Allys linalofanya safari zake kati ya DSM na Mwanza kugongana
uso kwa uso na Hiace katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza.
http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/12124853/Kubenea.jpg
No comments:
Post a Comment