mchezaji huyu naonekana kubakiza miaka miwili katika mkataba wake ndio maana wakala wake anapigania sana hili aweze kupata mkataba mpya,
Dimitri Seluk (wakala waTOURE) amewapa muda man city mpaka kufikia jumamosi wawe wameshatoa maamuzi juu kuondoka au kabaki.
kutokana na taarifa hiyo kutoka kwa wakala wake, matajiri wa london chelsea wameanza kuonesha nia ya dhati ya kumuhitaji mchezaji huyo kwa hudi na uvumba kwani katika nfasi anayocheza ndo anaonekana ni bora duniani