Kocha mkuu wa kikosi cha mpira wa miguu bwana Malick
Ally anawahiza wachezaji wote wa mwaka wa tatu kuweza kuhudhuria mazoezi
kuanzia hii leo mapema ili kuweza kujiweka fiti na ligi inayowakabili kipindi
kifupi kijacho kwa wale walioko mwaka wa tatu katika chuo kikuu kishiriki cha
elimu Dar es salaam. (DUCE).
Mazoezi yatafanyikia kwenye Uwanja mdogo wa mazoezi
chuoni hapo (DUCE)
No comments:
Post a Comment